Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Mkusanyiko na maadamano ya kuwaunga mkono Wananchi wa Palestina ulifanyika huko Sao Paulo, Mji Mkubwa zaidi wa Brazil, kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuanza kwa Mashambulizi ya kigaidi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Gaza. Washiriki wa maandamano hayo walitaka kukomeshwa kwa ghasia na kusitishwa uhusiano wa kibiashara na kidiplomasia kati ya Brazil na utawala haram wa Kizayuni.
9 Oktoba 2024 - 12:46
News ID: 1493155